Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

VODACOM PREMIER LEAGUE: YANGA YAICHAPA RUVU SHOOTING 2-1


Dar es Salaam Young Africans au Yanga kwa jina lingine maarufu walifanikiwa kuwachapa Ruvu Shooting Stars maba 2-1...
Yanga imemaliza mzunguko wa kwanza wakiwa nadafi ya  2 chini ya Simba Sports Club na wamezidiwa pointi 2 tu...Yanga walianza kwa kuotewa mwanzoni na badae kidogo wakasawazisha...


Kasi na uwezo wa kimpira wa Yanga ulikuwa juu sana...Kiwango hicho kilisababisha  wakapachika bao la 2...Yanga walishambulia sana lango la Ruvu na wangeweza kutoka na mabao zaidi ya hayo..

Yorum Gönder

0 Yorumlar